Viongozi, wadau na wananchi wakiwa katika hafla ya maadhimisho ya Miaka 62 ya Chama Cha Msalaba Mwekundi Tanzania inayofanyika leo Mei 11, 2024 katika ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma.
Mgeni rasmi wa maadhimisho hayo anatarajiwa kuwa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko. Aidha, maadhimisho hayo yameudhuriwa na washiriki kutoka nchi za Uganda, Spain, Botswana, Kenya, Ubeligiji na Qatar.
Kaulimbiu: “Natoa kwa furaha na furaha ninayotoa ni zawadi”.