Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati akiteta jambo na Waziri Mkuu Mstaafu na Mjumbe wa Tume ya Haki Jinai, Mhe. Sinde Warioba mara baada ya ufunguzi wa warsha ya Wakuu wa Wilaya, Makatibu Tawala na Wakurugenzi wa Halmashauri kutoka Tanzania Bara kuhusu Usimamizi na Utekelezaji wa Mapendekezo ya Tume ya Haki Jinai leo Mei 9, 2024 jijini Dodoma.