Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisikiliza Swali kutoka kwa Mbunge wa Viti Maalum Hawa Mwaifunga, Wakati alipokuwa akijibu maswali ya Papo kwa Papo Bungeni jijini Dodoma, Mei 2, 2024. ( Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akijibu Maswali ya wabunge wakati wa kipindi cha maswali ya papo kwa papo Bungeni jijini Dodoma, Mei 2, 2024. ( Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)