Matukio mbalimbali katika picha ya yakimuonesha Katibu Mkuu wa Wizara ya Masini Bw. Kheri Mahimbali
Akiwa bungeni pamoja na Viongozi, watendaji, watumishi na wadau mbalimbali wa Wizara ya Madini wakifuatilia Hotuba ya Bajeti ya Wizara hiyo Bungeni Jijini Dodoma leo Aprili 30, 2024.