Waziri wa Madini, Mhe. Anthony Mavunde na Naibu Waziri wa Madini, Mhe. Dkt. Steven Kiruswa wakiwa katika picha ya pamoja na Watumishi wa Tume ya Madini na Maafisa Madini Wakazi wa Mikoa ya Kimadini katika viwanja vya Bunge, Jijini Dodoma, mapema leo Aprili 30, 2030 muda mfupi kabla ya kuwasilisha Hotuba ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Madini kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025.