Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi mbalimbalia liopwasili kwenye ukumbi wa The Super Dome, Masaki jijini Dar es salaam kufungua Semina Maalum ya Uwekezaji katika Sekta ya Kilimo iliyoandaliwa na Benki ya CRDB, Aprili 28, 2024. (Picha naOfisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Wakurugenzi wa Kampuni ya utengenezaji bidhaa za ngozi iitwayo Fay Fashion , Bw. Geofrey Mlay (kushoto) na mkewe Faith Mlay alipotembelea banda lao la maonesho kabla ya kufungua Semina Maalum ya Uwekezaji katika Sekta ya Kilimo iliyoandaliwa na Benki ya CRDB kwenye ukumbi wa The Super Dome , Masaki jijini Dar es salaam, Aprili 28, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kuhusu ng’ombe kutoka kwa Collins Seronga alipotembelea banda la Chama cha Wafugaji Tanzania kabla ya kufungua Semina Maalum ya Uwekezaji katika Sekta ya Kilimo iliyoandaliwa na Benki ya CRDB kwenye ukumbi wa The Super Dome , Oysterbay jijini Dar es salaam, Aprili 28, 2024. Kulia kwake ni Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama uyoga alipotembelea banda la Kampuni ya Dorkin Organic Farming kabla ya kufungua Semina Maalum ya Uwekezaji katika Sekta ya Kilimo iliyoandaliwa na Benki ya CRDB kwenye ukumbi wa The Super Dome , Oysterbay jijini Dar es salaam, Aprili 28, 2024. Kushoto ni Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega na kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kasim Majliwa akipata maelezo kutoka kwa Mtalaamu wa Miradi Maalum wa Kampuni ya Mkwawa Leaf, Bw. Louis Roussos (kulia) alipoembelea banda la kampuni hiyo kabla ya kufungua Semina Maalum ya Uwekezaji katika Sekta ya Kilimo iliyoandaliwa na Benki ya CRDB kwenye ukumbi wa The Super Dome , Oysterbay jijini Dar es salaam, Aprili 28, 2024. Kushoto ni Naibu Waziri wa Kilimo, David Silinde na wa pili kulia ni mmiliki wa kampını hiyo, Ahmed Huwel (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifuatilia mada kabla ya kufungua Semina Maalum ya Uwekezaji katika Sekta ya Kilimo iliyoandaliwa na Benki ya CRDB kwenye ukumbi wa The Super Dome , Oysterbay jijini Dar es salaam, Aprili 28, 2024. Kulia kwake ni Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega na kushoto kwake ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza alipofungua Semina Maalum ya Uwekezaji katika Sekta ya Kilimo kwenye ukumbni wa The Super Dome , Oysterbay jijini Dar es alaam, Aprili 28, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)