Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo akisoma jarida la Uhuru ya Kijani wakati wa Sherehe za Miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar zilizofanyika katika Uwanja wa Uhuru mkoani Dar es Salaam leo tarehe 26 Aprili, 2024 na kuongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo akishiriki Sherehe za Miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar zilizofanyika katika Uwanja wa Uhuru mkoani Dar es Salaam leo tarehe 26 Aprili, 2024 na kuongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis na viongozi wengine akishiriki Sherehe za Miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar zilizofanyika katika Uwanja wa Uhuru mkoani Dar es Salaam leo tarehe 26 Aprili, 2024 na kuongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Mhandisi Cyprian Luhemeja akiteta jambo na Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Dkt. Jim Yonazi wakati wa Sherehe za Miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar zilizofanyika katika Uwanja wa Uhuru mkoani Dar es Salaam leo tarehe 26 Aprili, 2024 na kuongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Naibu Katibu Mkuu (Muungano) Ofisi ya Makamu wa Rais Bw. Abdallah Hassan Mitawi akishiriki Sherehe za Miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar zilizofanyika katika Uwanja wa Uhuru mkoani Dar es Salaam leo tarehe 26 Aprili, 2024 na kuongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.