Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwaakizungumza katika uzinduzi wa Baraza la Wafanyazi la Bodi ya Mfuko wa Barabara (RFB) naMfumo wa UfuatiliajinaTathmini wa Wizara hiyonaTaasisizake, jijini Dodoma.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, BaloziMhandisi Aisha Amour akitoamaelezo ya mfumo wa UfuatiliajinaTathmini wa Wizara hiyonaTaasisizake, uliozinduliwana Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, jijini Dodoma.
Kaimu Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Mfuko wa Barabara (RFB) naMwenyekiti wa Baraza la Wafanyakaziakizungumza katikauzinduzi wa Baraza la Wafanyazi la BodihiyonaMfumo wa UfuatiliajinaTathmini wa Wizara hiyonaTaasisizake, jijini Dodoma.
Wakuu wa Idara na Vitengo kutoka Wizara ya Ujenziwakisikilizahotuba ya Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa wakati wa uzinduzi waBaraza la Wafanyazi la Bodi ya Mfuko wa Barabara (RFB) naMfumo wa UfuatiliajinaTathmini wa Wizara hiyonaTaasisizake, jijini Dodoma.
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwaakiwa katika picha ya pamoja nawajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa Bodi ya Mfuko wa Barabara (FRB) marabaada ya kuzinduaBarazahilo, jijini Dodoma.
…….
Waziri wa Ujenzi, Innocent BashungwaamemuagizaKatibuMkuu wa Wizara ya Ujenzi BaloziMhandisi Aisha Amour anazisimamiaTaasisi za Baraza la Taifa la Ujenzi (NCC) naBodi ya Usajili wa Makandarasi (CRB) kuhakikishazinaundaMabaraza ya Wafanyakaziambayoyanaundwa kwa mujibu wa Sheria ya AjiranaMahusianoKazini Na. 6 ya mwaka 2004.
BashungwaametoaagizohiloAprili 22, 2024 jijini Dodoma wakati akizinduaBaraza la Wafanyakazi la Mfuko wa Barabara (RFB) naMfumo wa UfuatiliajinaTathmini ya Wizara naTaasisizakeambapoameagizahadikufikiaJuni 30, 2024 Mabaraza ya Taasisi za NCC na CRB ziwezinafanyakazi kwa mujibu wa Sheria.
“NCC pamoja na CRB kupitia kwa KatibuMkuujipangeninatakahadikufikaJuni 30 nipatetaarifa ya Taasisi hizi ziwenaMabaraza ya Wafanyakazinayanayofanyakazi”, amesisitizaBashungwa.
Bashungwaamewatakawajumbe wa Baraza la Bodi ya Mfuko wa Barabara kubuninakuletavyanzovipya vya mapato kwa dhumuni la kusaidiauwepo wa mapato ya kutoshanaendelevu kwa ajili ya usimamizi wa matengenezo ya barabara hapanchini.
Bashungwaamesisitiza kwa wajumbe wa mabarazakutumiafursa ya uwepowao katika mabaraza hayo kuhojinakutoamapendekezoyatakayokuwanamchangonakuzaamatunda katika kuileteanchi yetu maendeleo.
Vilevile, Bashungwaamewakumbushawajibu wa Baraza la WafanyakaziikiwemoUsimamizi wa Rasilimaliwatusambambanakuwajengeaweledi, ujuzinauwezo kwa watumishi pamoja na kusimamia hakinaustawi katika sehemu za kazi.
Aidha, BashungwaameziagizaBodi ya Usajili wa Wahandisi (ERB), Bodi ya Usajili wa Makandarasi (CRB) naBodi ya Usajili wa MakadiriajiMajenzinaWabunifuMajengo (AQRB) kufuatiliamiradiwanayoisimamiakabla ya tatizokutokea pamoja na kushirikiana nakuchukua hatua kwa watuwanaokiukamaadili ya taaluma zenu.
Kuhusumfumo wa ufuatiliajinatathimini, Waziri BashungwaamewasihiWakuu wa Taasisikuboreshamajukumuyao ya kiutendaji kupitia mfumohuoikiwemokuongezaufanisinaweledi.
Kwa upande wake, KatibuMkuu wa Wizara ya Ujenzi, BaloziMhandisi Aisha Amour ameeleeza kuwa Wizara pamoja naTaasisizakeitaanzakutumia rasmi mfumohuukuanzia tarehe 2 Mei, 2024 ambapomatarijio ya Wizara kupitia mfumohuoutaongezaufanisi wa Wizara naTaasisizakena kupunguza matumizi ya fedha za Serikalinakuwezesha kuwa natakwimusahihikati ya Wizara naTaasisizake.
Naye, KaimuMtendajiMkuu wa Bodi ya Mfuko wa Barabara ambayeniMwenyekiti wa Baraza la BodihiyoMhandisiRashid Kalimbagaameeleza kuwa Baraza la wafanyakazi wa Bodihiyolinajumuishawajumbe mbalimbali wakiwemoWakuu wa Vitengo, Wawakilishi wa Vitengo, Wajumbe wa Halmashauri ya TUGHE tawi la Bodi, Mwenyekiti wa TUGHE kutokaWizarani, Mjumbe wa TUGHE TaifanaMjumbe wa TUGHE Mkoa wa Dodoma.
Imetolewana Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Wizara ya Ujenzi