Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika Tamasha Maalum la Uhuru Media Group (UMG) la Kumpongeza Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan lililofanyika kwenye Viwanja vya TTCL Kijitonyama jijini Dar es salaam, Aprili 20, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea kutoka kwa Mkurugenzi wa Uhuru Media Group, Shaban Kisu, tuzo maalum ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ya kumpongeza kwa uongozi na utendaji uliotukuka katika Tamasha Maalum la Uhuru Media Group la Kumpongeza Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan lililofanyika kwenye Viwanja vya TTCL Kijitonyama jijini Dar es salaam, Aprili 20, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye baada ya kuzungumza katika Tamasha Maalum la Uhuru Media Group la Kumpongeza Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan lililofanyika kwenye viwanja vya TTCL Kijitonyama jijini Dar es salaam, Aprili 20, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Baadhi ya washiriki wa Tamasha Maalum la Uhuru Media Group la kumpongeza Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan lililofanyika kwenye Viwanja vya TTCL Kijitonyama jijini Dar es salaam, Aprili 20, 2024, wakionesha kuguswa kwao na hotuba ya mgeni rasmi Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Meneja wa zamani wa Uwanja wa Taifa, Frank Macha baada ya kuhutubia katika Tamasha Maalum la Uhuru Media Group la kumpongeza Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan lililofanyika kwenye Viwanja via TTCL Kijitonyama jijini Dar es salaam, Aprili 20, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)