Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt Doto Biteko, bungeni jijini Dodoma, Aprili 18, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Waziri Ofisi ya Rais- Menejiment ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Ridhiwani Kikwete (wa pili kushoto), Naibu Waziri wa Fedha Hamad Hassan Chande (wa tatu kushoto) , Naibu Waziri, Ofisi ya Rais TAMISEMI Dkt. Festo Dugange (kulia) na Naibu Waziri wa Ujenzi, Godfrey Kasekenya, bungeni jijini Dodoma, Aprili 18, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)