MUONEKANO wa jengo jipya la Skuli ya Msingi ya Hamid Ameir Donge Mkoa wa Kaskazini Unguja, iliyofunguliwa leo 17-4-2024 na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, ikiwa ni shamrashamra za sherehe za Maadhimisho ya Miaki 60 ya Muungano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Mkuu wa Mkoa Kaskazini Unguja Mhe. Rashid Hadid Rashid, alipowasuli katika viwanja vya Skuli ya Msingi ya Hamid Ameir kwa ajili ya ufunguzi wa jengo jipya la Skuli hiyo, ikiwa ni shamrashamra za sherehe za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Muungano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, hafla hiyo iliyofanyika leo 17-4-2024.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiondoa pazia kuashiria kuweka Jiwe la Msingi la Ufunguzi wa Skuli ya Msingi ya Hamid Ameir Donge Mkoa wa Kaskazini Unguja, ikiwa ni shamrashamra za Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Muungano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na (kushoto kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na Mwakilishi wa Jimbo la Donge pia ni Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar Mhe.Dkt. Khalid Salum Mohammed, uzinduzi huo uliyofanyika leo 17-4-2024.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiondoa pazia kuashiria kuweka Jiwe la Msingi la Skuli ya Msingi ya Hamid Ameir Donge Mkoa wa Kaskazini Unguja, ikiwa ni shamrashamra za Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Muungano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na (kushoto kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi, uzinduzi huo uliyofanyika leo 17-4-2024.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi na Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Ali Abdulgulam Hussein katika moja ya Darasa la Skuli ya Msingi ya Hamid Amier Donge Mkoa wa Kaskazini Unguja, baada ya kuifungua Skuli hiyo, uzinduzi huo uliofanyika leo 17-4-2024, ikiwa ni shamrashamra za sherehe za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Muungano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi akitembelea jengo jipya la Skuli ya Msingi ya Hamid Ameir Donge Mkoa wa Kaskazini Unguja, baada ya kuifungua rasmin leo 17-4-2024, akiwa na Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Ali Abdulgulam Hussein, ikiwa ni shamrashamra za sherehe za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Muungano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.(Picha na Ikulu)
WANANCHI Kijiji cha Donge Mkoa wa Kaskazini Unguja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia baada ya kuifungua Skuli Mpya ya Msingi ya Hamid Ameir Donge leo 17-4-2024, ikiwa ni sherehe za shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Muungano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.(Picha na Ikulu)
WANAFUNZI wa Skuli ya Msingi Donge wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia baada ya kulifungua jengo jipya la Skuli ya Msingi ya Hamid Ameir Donge Mkoa wa Kaskazini Unguja, ufunguzi huo uliyofanyika leo 17-4-2024, ikiwa ni shamrashamra za sherehe za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Muungano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.(Picha na Ikulu)
MWANANCHI wa Kijiji cha Donge Mkoa wa Kaskazini Unguja akishangilia wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhew.Dk.Hussein Ali Mwinyi(hayupo pichani) akihutubia katika viwanja vya Skuli ya Msingi ya Donge, baada ya Ufunguzi wa jengo jipya la Skuli ya Msingi ya Hamid Ameir Donge leo 17-4-2024, ikiwa ni shamrashamra za sherehe za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Muungano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania .(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, akihutubia baada ya ufunguzi wa jengo jipya la Skuli ya Msingi ya Hamid Ameir Donge Mkoa wa Kaskazini Unguja leo 17-4-2024, ikiwa ni shamrashamra za sherehe za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Muungano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakimsalimia na Mzee Omar Seif Mussa Mkaazi wa Donge Choke Mkoa wa Kaskazini Unguja,baada ya kumaliza kwa hafla ya Ufunguzi wa jengo jipya la Skuli ya Msingi ya Hamid Ameir Donge, uzinduzi huo uliofanyika leo 17-4-2024.(Picha na Ikulu)