RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Naibu Mifti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Mahmoud Mussa Wadi alipowasili katika viwanja vya Masjid Hidaya Kilimani Tazari Kidoti Mkoa wa Kaskazini Unguja, kuhudhuria Ibada ya Sala ya Ijumaa na Kisomo cha Hitma na Dua ya kumuiombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili Mstaafu Hayati Alhajj Ali Hassan Mwinyi, iliyofanyika leo 12-4-2024.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Wananchi wa Kijiji cha Kilimani Tazari Kidoti, Mkoa wa Kaskazini Unguja katika kisomo cha Hitma na Dua ya kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili Mstaafu Alhajj Ali Hassan Mwinyi, iliyofanyika leo 12-4-2024 baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid Hidaya Kilimani Tazari. na (kushoto kwa Rais) Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi na (kulia kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe. Hadid Rashid Hadid (Picha na Ikulu)
WANANCHI wa Kijiji cha Kilimani Tazari Mkoa wa Kaskazini Unguja wakijumuika na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi katika kisomo cha hitma na dua ya kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili Mstaafu Alhajj Ali Hassan Mwinyi, iliyofanyika katika Masjid Hidaya Kilimani Tazari Kidoti Mkoa wa Kaskazini Unguja leo 12-4-2024.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Viongozi na Wananchi katika kuitikia dua ya kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili Mstaafu Hayati Alhajj Ali Hassan Mwinyi,ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi (kushoto kwa Rais) na (kulia kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe. Hadid Rashid Hadid, iliyofanyila leo 12-4-2024 katika Masjid Hidaya Kilimani Tazari Kidoti Mkoa wa Kaskazini Unguja.(Picha na Ikulu)