Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Ally Senga Gugu(katikati), Naibu Katibu Mkuu,Dkt.Maduhu Kazi(wakwanza kushoto),Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimaliwatu,Miriam Mmbaga(wapili kulia) na viongozi wa Baraza la Wafanyakazi la wizara wakiimba Wimbo wa Mshikamano Daima wakati wa Kikao cha Baraza Dogo la Wafanyakazi kilichofanyika leo jijini Dodoma.
Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Ally Senga Gugu akizungumza wakati wa Ufunguzi wa Kikao cha Baraza Dogo la Wafanyakazi wa wizara hiyo lililofanyika leo jijini Dodoma ambapo amewataka watumishi kutenda haki katika shughuli zao ili ziweze kuleta tija kwa taifa.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi,Dkt.Maduhu Kazi akizungumza wakati wa Ufunguzi wa Kikao cha Baraza Dogo la Wafanyakazi wa wizara hiyo lililofanyika leo jijini Dodoma.
Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimaliwatu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi,Miriam Mmbaga akizungumza wakati wa Ufunguzi wa Kikao cha Baraza Dogo la Wafanyakazi wa wizara hiyo lililofanyika leo jijini Dodoma.Kushoto ni Katibu Mkuu wa wizara hiyo,Ally Senga Gugu na kulia ni Katibu wa Baraza Dogo la Wafanyakazi,Francis Lubert.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Ally Senga Gugu akiwa katika picha ya pamoja na Sekretarieti ya Baraza Dogo la Wafanyakazi wa wizara hiyo.Wengine ni Naibu Katibu, Dkt.Maduhu Kazi (wapili kushoto) na Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimaliwatu, Miriam Mmbaga (wapili kulia). Kikao hicho kimefanyika leo jijini Dodoma.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi