Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Said Shaib Mussa amempokea Waziri wa Mambo ya Nje na Biashara wa Hungary, Mhe. Péter Szijjártó
Mhe. Szijjártó amewasili nchini leo Machi 27, 2024 kwa ziara ya kikazi ya siku mbili.