Waziri wa Ujenzi na Mbunge wa jimbo la Karagwe, Innocent Bashungwa akisisitiza jambo kwa wafanyabishara (hawapo pichani) wakati alipokutana nao, Wilayani Karagwe, Mkoani Kagera.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Karagwe, Paschal Rwamugata akizungumza jambo kwa wafanyabiashara (hawapo pichani) wakati walipokutana na kuzungumza nao ikiwa pamoja na kusikiliza na kutatua kero zao Wilayani Karagwe, Mkoani Kagera.
Waziri wa Ujenzi na Mbunge wa jimbo la Karagwe, Innocent Bashungwa akifafanua jambo kwa Watendaji wa Mamlaka ya Mapato (TRA) wakati wa kikao cha wafanyabiashara na Mbunge wao, Wilayani Karagwe, Mkoani Kagera.
Mfanyabiashara wa Kampuni ya SANOA, Bw. Metisela Philipo akiwasilisha kero wanazozipata wafanyabiashara wa Wilaya ya Karagwe kwa Waziri wa Ujenzi na Mbunge wa jimbo la Karagwe, Innocent Bashungwa, Mkoani Kagera.
Sehemu ya Watendaji wa Taasisi za Serikali wakisikiliza changamoto za wafanyabiashara wa Wilaya ya Karagwe (hawapo pichani) katika kikao kilichowakutanisha wafanyabiashara na Waziri wa Ujenzi na Mbunge wa jimbo la Karagwe, Innocent Bashungwa, Mkoani Kagera.
………..