Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi pamoja na wageni mbalimbali kabla ya kuzindua Chama cha Wanawake Sekta ya Fedha Tanzania (TAWiFA), Kizimkazi, Zanzibar, tarehe 14 Machi, 2024.
Viongozi mbalimbali wakiwa kwenye Tamasha la Wanawake Sekta ya Fedha ambalo limefanyika Kizimkazi, Zanzibar tarehe 14 Machi, 2024. Tamasha hilo limeandaliwa na Chama cha Wanawake Sekta ya Fedha (TAWiFA) kwa kushirikiana na Taasisi ya Mwanamke Initiatives (MIF) pamoja na TIRA.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama pamoja na viongozi wengine wakati wa Tamasha la Wanawake Sekta ya Fedha Kizimkazi, Zanzibar tarehe 14 Machi, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye Tamasha la Wanawake Sekta ya Fedha ambalo limefanyika Kizimkazi, Zanzibar tarehe 14 Machi, 2024. Tamasha hilo limeandaliwa na Chama cha Wanawake Sekta ya Fedha (TAWiFA) kwa kushirikiana na Taasisi ya Mwanamke Initiatives (MIF) pamoja na TIRA.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akifurahia jambo na Mama Fatma Karume Mjane wa Rais wa Kwanza wa Zanzibar Hayati Sheikh Abeid Amani Karume mara baada ya kuzindua Chama cha Wanawake Sekta ya Fedha Tanzania (TAWiFA) Kizimkazi, Zanzibar tarehe 14 Machi, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Mama Fatma Karume Mjane wa Rais wa Kwanza wa Zanzibar Hayati Sheikh Abeid Amani Karume mara baada ya kuhutubia na kuzindua Chama cha Wanawake Sekta ya Fedha Tanzania (TAWiFA) Kizimkazi, Zanzibar tarehe 14 Machi, 2024.