Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Alhajj Hemed Suleiman Abdulla amejumuika na Viongozi wa Chama na Serikali pamoja na waumini wa Dini ya Kiislamu katika kumsalia na kumuombea dua aliyekuwa Rais wa Awamu ya Pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Ali Hassan Mwinyi katika Msikiti wa Bakwata uliyopo Kinondoni Jijini Dar es Salaam.
Inna liilahi wainna ilaihi raajiun