Waziri Mkuu Kassim Majaliwa na mkewe Mary wakitoa heshima za mwisho kwa mwili wa Rais Mstaafu wa awamu ya Pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Ali Hassan Mwinyi, Machi 01, 2024 kwenye uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
