Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na wakazi wa Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya Sokoine vilivyopo Mugumu, Mkoani Mara, Februari 27, 2024. Mheshimiwa Majaliwa yupo Mkoani Mara kwa ziara ya Kikazi ya Siku tano. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)