RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi mbalimbali wa Serikali alipowasili katika viwanja vya Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar, kwa ajili ya ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Wadau wa Sekta ya Utalii “The Z Summit 2024”, uliyofanyika leo 21-2-2024 katika ukumbi wa hoteli hiyo.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akitembelea maonesho ya Wadau wa Sekta ya Utalii “The Z Summit 2024” baada ya kuyafungua maonesho hayo yanayofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 21-2-2024 , akipata maelezo kutoka kwa Mwakilishi wa Kampuni ya Neela Boutique Hotel Ndg. Steve Nhigula.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiuliza swali kwa Mkurugenzi Mkuu wa kampuni Nyerere Tented Camp Bi. Anita Daigle wakati akitembelea Maonesho ya Wadau wa Sekta ya Utalii “The Z Summit 2024” baada ya kuyafungua katika viwanja vya Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 21-2-2024,na (kulia kwa Rais) Mwenyekiti wa “The Z Summit” ambae pia ni Mwenyekiti wa Kamisheni ya Utalii Zanzibar Ndg. Rahim Bhaloo na Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mhe. Mudrik Ramadhan Soraga.(Picha na Ikulu)
MWENYEKITI wa Kamati ya “The Z Summit 2024” ambae pia ni Mwenyekiti wa Kamisheni ya Utalii Zanzibar Ndg. Rahim Bhaloo akizungumza wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Wadau wa Sekta ya Utalii “The Z Summit 2024” unaofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 21-2-2024, na uliyofunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kuyafungua Maonesho ya Wadau wa Sekta ya Utalii yanayofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar, kabla ya ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Wadau wa Sekta ya Utalii “The Z Summit 2024” uliyofanyika leo 21-2-2024, na (kulia kwa Rais) Mwenyekiti wa “The Z Summit” ambae pia ni Mwenyekiti wa Kamisheni ya Utalii Zanzibar Ndg. Rahim Bhaloo na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mhe. Mudrik Ramadhan Soraga.
BAADHI ya Mabalozi Wadogo na Wageni Waalikwa na Wadau wa Sekta ya Utalii, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kuufungua Mkutano Mkuu wa Wadau wa Sekta ya Utalii “The Z Summit 2024” unaofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 21-2-2024.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipata maelezo kutoka kwa Mwakilishi wa Kikundi cha “World Vegetable Center “ cha Tunguu Zanzibar Bi.Amina Adam Makame, wakati akitembelea maonesho ya Wadau wa Sekta ya Utalii “The Z Summit 2024” baada ya kuyafungua katika viwanja vya Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 21-2-2024.(Picha na Ikulu)
WADAU wa Sekta ya Utalii wakifuatilia hutuba ya ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Wadau wa Sekta ya Utalii “The Z Summit 2024” wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kuufungua mkutano huo unaofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 21-2-2024.(Picha na Ikulu