Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan amewasili tayari nchini Ethiopia na siku ya kesho anatarajiwa kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika. Vilevile Mhe Rais Samia atazindua Sanamu ya Mwalimu Nyerere Makao Makuu ya AU.

Sign in to your account