Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiongoza kikao cha Kamati ya Mawaziri kuhusu Nishati safi ya kupikia, katika ukumbi wa Spika, bungeni jijini Dodoma, Februari 09, 2024. Kikao hicho pia kimehudhuriwa na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko. (Picha na Ofisi ya Naziri Mkuu)