Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene akifungua kikao kazi cha nne (4) cha Mamlaka ya Serikali Mtandao (eGA) katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Arusha (AICC).
Sehemu ya washiriki wa kikao kazi cha nne (4) cha Mamlaka ya Serikali Mtandao (eGA) wakimsikiliza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene (hayupo pichani) wakati akifungua kikao kazi hicho katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Arusha (AICC).
Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Bw. Juma Mkomi, akitoa maelezo ya awali kabla ya kumkaribisha Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene kufungua kikao kazi cha nne (4) cha Mamlaka ya Serikali Mtandao (eGA) katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Arusha (AICC).
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Serikali Mtandao (eGA) Mhandisi Benedict Ndomba akielezea majukumu ya eGA kabla ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene kufungua kikao kazi cha nne (4) cha Mamlaka ya Serikali Mtandao (eGA) katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Arusha (AICC).
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene akifuatilia kikao kazi cha nne (4) cha Mamlaka ya Serikali Mtandao (eGA) katika Kituo cha Mikutano ch