Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimjulia hali Theresia Mdee, mama mzazi wa Mbunge wa Viti Maalum Halima Mdee ambaye amelazwa katika Hospitali ya Benjamin Mkapa jijini Dodoma, Februari 1, 2024. (Picha na Ikulu)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Mbunge wa Viti Maalum Halima Mdee akielezea juu ya maendeleo ya afya na matibabu ya Mama yake ambaye amelazwa katika Hospitali ya Benjamin Mkapa jijini Dodoma, Februari 1, 2024. (Picha na Ikulu)