Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi CCM Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndugu. Paul Makonda akisalimiana na kuzungumza na Wananchi wa Tinde katika Halmashauri Shinyanga Vijijni.
Makonda yupo mkoani Shinynga siku ya pili katika muendelezo wa ziara yake ya Mikoa 20 Back To Back.
📍Tinde – Mkoani Shinyanga
🗓️28 Januari, 2024