WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akizungumza na Wakuu wa Vyombo vya Usalama na Watendaji wa Ununuzi na Ugavi wa Wizara yake katika kikao kazi kilichofanyika Ofisi ndogo ya Wizara hiyo, jijini Dar es Salaam, leo Januari 23, 2024. Kushoto meza kuu ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Kaspar Mmuya. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akizungumza na Wakuu wa Vyombo vya Usalama na Watendaji wa Ununuzi na Ugavi wa Wizara yake katika kikao kazi kilichofanyika Ofisi ndogo ya Wizara hiyo, jijini Dar es Salaam, leo Januari 23, 2024. Kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Kaspar Mmuya. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (katikati meza kuu), akimsikiliza Afisa Mtendaji Mkuu wa Shirika la Uzalishaji Mali la Magereza (SHIMA), Moremi Marwa (kushoto), alipokuwa akizungumza katika kikao cha Waziri huyo na Wakuu wa Vyombo vya Usalama na Watendaji wa Ununuzi na Ugavi wa Wizara yake katika kikao kilichofanyika Ofisi ndogo ya Wizara hiyo, jijini Dar es Salaam, leo Januari 23, 2024. Kushoto meza kuu ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Kaspar Mmuya. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Baadhi ya Maafisa waliohudhuria kikao cha WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (hayupo pichani) na Wakuu wa Vyombo vya Usalama na Watendaji wa Ununuzi na Ugavi wa Wizara hiyo kilichofanyika Ofisi ndogo ya Wizara, jijini Dar es Salaam, leo Januari 23, 2024. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.