Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Dkt. Emmanuel John Nchimbi (wa nne kulia) na viongozi wengine wakiomba dua kwenye kaburi la Rais wa Kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Hayati Abeid Amani Karume, lililoko katika Afisi Kuu ya CCM Zanzibar, Kisiwandui Mjini Unguja, Januari 19, 2024.