Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akizungumza wakati wa Mkutano wa Ngazi ya Juu wa Mifumo ya Usalama wa Chakula uliyoshirikisha Muungano wa wadau wa usalama wa chakula duniani. Mkutano huo umefanyika Kando ya Mkutano wa Jukwaa la Uchumi Duniani (WEF) unaofanyika Davos nchini Uswisi.