Katibu wa Bunge, Ndg. Nenelwa Mwihambi, ndc akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB), Ndg. Abdul-Razaq Badru, alipomtembelea leo tarehe 18 Januari, 2024 ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.
Katibu wa Bunge, Ndg. Nenelwa Mwihambi, ndc akikabidhiwa machapisho na Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB), Ndg. Abdul-Razaq Badru, alipomtembelea leo tarehe 18 Januari, 2024 ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.
Katibu wa Bunge, Ndg. Nenelwa Mwihambi, ndc akimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB), Ndg. Abdul-Razaq Badru akitoa maelezo kuhusu machapisho alipomtembelea leo tarehe 18 Januari, 2024 ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.
Katibu wa Bunge, Ndg. Nenelwa Mwihambi, ndc akisoma machapisho aliyokabidhiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB), Ndg. Abdul-Razaq Badru (kulia), alipomtembelea leo tarehe 18 Januari, 2024 ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.
Katibu wa Bunge, Ndg. Nenelwa Mwihambi, ndc akiagana na Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB), Ndg. Abdul-Razaq Badru baada ya mazungumzo yaliyofanyika leo tarehe 18 Januari, 2024 ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.
Katibu wa Bunge, Ndg. Nenelwa Mwihambi, ndc akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB), Ndg. Abdul-Razaq Badru, alipomtembelea leo tarehe 18 Januari, 2024 ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.(PICHA NA OFISI YA BUNGE)