Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakisalimiana na Viongozi pamoja na wafadhili wakati wa Ufunguzi wa Kituo cha Afya Jengo la Huduma za Dharura na Maabara Makunduchi Wilaya ya Kusini Mkoa wa Kusini Unguja leo .[Picha na Ikulu] 17/01/2024.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakipata maelezo kutoka kwa Afisa Mtekinolojia Maabara II Ndg Amos Asimbile Lwinga wakati alipotembelea moja ya chumba cha uchunguzi katika Jengo la Huduma za Dharura na Maabara mara baada ya kulifingua rasmi leo Makunduchi Wilaya ya Kusini Mkoa wa Kusini Unguja leo (kulia) Mkuu wa Kituo Dr.Kurwa Bakari Mohamed.[Picha na Ikulu] 17/01/2024.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akipata maelezo kutoka kwa Mtaalam wa Maabara Ndg.Abdulla Rashid Hemed wakati alipotembelea moja ya chumba cha uchunguzi wa matatizo mbali mbali katika Jengo la Huduma za Dharura na Maabara mara baada ya kulifingua rasmi leo Makunduchi Wilaya ya Kusini Mkoa wa Kusini Unguja leo .[Picha na Ikulu] 17/01/2024.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe,Ayoub Mohamed Mahmoud, (kulia) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi,(kushoto) Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kusini Unguja Mhe.Mwaka Mrisho Abdalla,Katibu wa Baraza la Mapinduzi pia Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na Naibu Waziri wa Afya Mhe,Hassan Khamis Hafidh wakisimama wakati wimbo wa Taifa Ukipigwa katika hafla ya ufunguzi wa Jengo la Huduma za Dharura na Maabara Kituo cha Afya Makunduchi Wilaya ya Kusini Mkoa wa Kusini Unguja leo.[Picha na Ikulu] 17/01/2024.
Baadhi ya Wakurugenzi wa Idara mbali mbali katika Wizara ya Afya na Viongozi wengine wakiwa katika hafla ya ufunguzi wa Jengo la Huduma za Dharura na Maabara Kituo cha Afya Makunduchi Wilaya ya Kusini Mkoa wa Kusini Unguja leo mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi .[Picha na Ikulu] 17/01/2024.
Baadhi ya wafanyakazi katika Kituo cha Afya Makunduchi na Wananchi wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi(hayupo pichani) alipokuwa akitoa hutuba yake leo katika hafla ya ufunguzi wa Jengo la Huduma za Dharura na Maabara lililojengwa na Wafadhili kwa kushirikiana na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Wilaya ya Kusini Mkoa wa Kusini Unguja. [Picha na Ikulu] 17/01/2024.
Wananchi wa Shehia mbali mbaa wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi(hayupo pichani) alipokuwa akitoa hutuba yake leo katika hafla ya ufunguzi wa Jengo la Huduma za Dharura na Maabara lililojengwa na Wafadhili kwa kushirikiana na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Wilaya ya Kusini Mkoa wa Kusini Unguja. [Picha na Ikulu] 17/01/2024.