Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwapungia mkono maelfu ya wananchi katika kilele cha Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar yaliyofanyika leo katika Uwanja wa New Amani Komplex Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 12/01/2024.
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2024/01/DSC_5831-1024x635.jpg)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akikagua Gwaride la Heshma la Vikosi vya Ulinzi na Usalama katika kilele cha Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar yaliyofanyika leo katika Uwanja wa New Amani Komplex Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 12/01/2024.
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2024/01/DSC_5797-1024x682.jpg)
Kikosi cha Bendera cha Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wakitoa salamu ya Heshma kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyiakiwa mgeni rasmi katika kilele cha Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar yaliyofanyika leo katika Uwanja wa New Amani Komplex Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 12/01/2024.
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2024/01/DSC_5800-1024x682.jpg)
Kikosi FFU cha Jeshi la Polisi wakitoa salamu ya Heshma kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa mgeni rasmi katika kilele cha Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar yaliyofanyika leo katika Uwanja wa New Amani Komplex Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 12/01/2024.
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2024/01/DSC_5805-1024x682.jpg)
Viongozi mbali mbali wakisimama wakati wimbo wa Taifa Ukipigwa katika kilele cha Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar yaliyofanyika leo katika Uwanja wa New Amani Komplex Jijini Zanzibar.mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi .[Picha na Ikulu] 12/01/2024.
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2024/01/DSC_5917-1024x682.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2024/01/DSC_5922-1024x682.jpg)
Kikosi cha Bendera cha Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wakitoa salamu ya Heshma kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyiakiwa mgeni rasmi katika kilele cha Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar yaliyofanyika leo katika Uwanja wa New Amani Komplex Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 12/01/2024.
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2024/01/IMG-20240112-WA0819-1024x550.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2024/01/IMG-20240112-WA0821-1024x707.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2024/01/IMG-20240112-WA0829-1024x683.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2024/01/IMG-20240112-WA0830-1024x712.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2024/01/IMG-20240112-WA0833-1024x683.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2024/01/IMG-20240112-WA0834-1024x683.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2024/01/IMG-20240112-WA0842-1024x514.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2024/01/IMG-20240112-WA0826.jpg)