Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akimtunuku Nishani ya Mapinduzi kwa Viongozi wenye sifa za Kipekee Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, leo katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar .[Picha na Ikulu] 11/01/2024.
Viongozi wa Vikosi wa Vikosi vya Ulinzi wakiwa katika hafla ya utolewaji wa nishani za Mapinduzi katika Viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar .[Picha na Ikulu] 11/01/2024.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akifuatana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan wakielekea katika Uwanja wa hafla ya kutuku Nishani ya Mapinduzi Zanzibar iliyofanyika leo katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar .[Picha na Ikulu] 11/01/2024.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Majaliwa Kassim Majaliwa akisalimiana na Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemedi Suleiman Abdulla katika hafla ya utolewaji wa nishani za Mapinduzi iliyofanyika leo Viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar .[Picha na Ikulu] 11/01/2024.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akimtunuku Nishani ya Utumishi wa muda mrefu na Utii kwa Idara Maalum za SMZ Lt.Col Khadija Ahmada Rai katika hafla iliyofanyika leo viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar .[Picha na Ikulu] 11/01/2024.
Viongozi mbali mbali Serikali ya Mapinduzi na Jamhuri ya Muungano wakiwa katika hafla ya utolewaji wa nishani za Mapinduzi iliyofanyika leo Viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar .[Picha na Ikulu] 11/01/2024.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akimtunuku Nishani ya Mapinduzi kwa Viongozi na Wananchi wenye Sifa Maalum Mhe.Balozi Seif Ali Iddi Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mstaafu katika hafla iliyofanyika leo viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar .[Picha na Ikulu] 11/01/2024.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akimtunuku Nishani ya Mapinduzi Utumishi Uliotukuka Mhe.Dkt.Abdulhamid Yahaya Mzee katika hafla iliyofanyika leo viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar .[Picha na Ikulu] 11/01/2024.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akimtunuku Nishani ya Mapinduzi ya Utmishi wa muda Mrefu na Utii kwa Idara Maalum za SMZ KO743MCPO 1 Mohamed Suleiman Haji(Geji) katika hafla iliyofanyika leo viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar .[Picha na Ikulu] 11/01/2024.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akimtunuku Nishani ya Mapinduzi ya Utmishi wa muda Mrefu na Utii kwa Idara Maalum za SMZ Lt.Col (Mst) Maryam Kurwa Nassor katika hafla iliyofanyika leo viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar .[Picha na Ikulu] 11/01/2024.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akimtunuku Nishani ya Mapinduzi Utumishi Uliotukuka Prof.Saleh Idris Muhammed katika hafla iliyofanyika leo viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar .[Picha na Ikulu] 11/01/2024.
Viongozi mbali mbali waliohudhuria katika katika hafla ya kutunuku Nishani mbali mbali iliyofanyika leo viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi .[Picha na Ikulu] 11/01/2024.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan na Mke wa Rais wa Zanzibar na Mama Mariam Mwinyi wakijipatia Vinywaji baada ya hafla ya kutunuku Nishani mbali mbali za Mapinduzi kwa Viongozi katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar .[Picha na Ikulu] 11/01/2024.
Viongozi mbali mbali waliohudhuria katika hafla ya kutunuku Nishani mbali mbali iliyofanyika leo viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi .[Picha na Ikulu] 11/01/2024.
Viongozi wa Vikosi vya Ulinzi waliohudhuria katika hafla ya kutunuku Nishani mbali mbali iliyofanyika leo viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi .[Picha na Ikulu] 11/01/2024.