Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Balozi wa India nchini Tanzania Mhe. Binaya Srikanta Pradhan wakati alipofika Ikulu ndogo Tunguu Zanzibar kwa ajili ya kuaga baada ya kumaliza muda wake hapa nchini tarehe 11 Januari, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Balozi wa India nchini Tanzania Mhe. Binaya Srikanta Pradhan wakati alipofika Ikulu ndogo Tunguu Zanzibar kwa ajili ya kuaga baada ya kumaliza muda wake hapa nchini tarehe 11 Januari, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa India nchini Tanzania Mhe. Binaya Srikanta Pradhan mara baada ya mazungumzo yao Ikulu ndogo Tunguu Zanzibar tarehe 11 Januari, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza jambo na Balozi wa India nchini Tanzania Mhe. Binaya Srikanta Pradhan Ikulu ndogo Tunguu Zanzibar tarehe 11 Januari, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiagana na Balozi wa India nchini Tanzania Mhe. Binaya Srikanta Pradhan mara baada ya mazungumzo yao wakati alipofika Ikulu ndogo Tunguu Zanzibar kwa ajili ya kuaga baada ya kumaliza muda wake hapa nchini tarehe 11 Januari, 2023.