Balozi wa Uholanzi nchini Tanzania Mhe.Welbe de Boer alipokuwa akizungumza na Viongozi waliohudhuria katika uwekaji saini makubaliano ya Ujenzi wa Bandari ya Abiria Mpiga Duri itakayojegwa na Kampuni ya Zf.Devco ya Uholanzi hafla iliyofanyika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar , Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi,akiwa mgeni rasmi katika Maadhimisho ya shamra shamra za Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.[Picha na Ikulu] 09/01/2024.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akishuhudia Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi Ndg.Khadija Khamis Rajab kwa upande wa Serikali ya Mapinduzi akitiliana saini makubaliano Mwakilishi Mwenza wa Kampuni ya ZF Devco Ndg.Matthew Vander Borgh ya ujenzi wa Bandari mpya ya Abiria Mpiga Duri Mkoa wa Mjini Magharibi itakayojengwa na kampuni ya ZF Devco ya nchini Uholanzi. [Picha na Ikulu] 09/01/2024.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi Ndg.Khadija Khamis Rajab kwa upande wa Serikali ya Mapinduzi akibadilishana hati za saini ya makubaliano Mwakilishi Mwenza wa Kampuni ya ZF Devco Ndg.Matthew Vander Borgh ya ujenzi wa Bandari mpya ya Abiria Mpiga Duri Mkoa wa Mjini Magharibi itakayojengwa na kampuni ya ZF Devco ya nchini Uholanzi. [Picha na Ikulu] 09/01/2024.
Baadhi ya Viongozi waliohudhuria saini ya makubaliano ya ujenzi wa Bandari mpya ya Abiria Mpiga Duri Mkoa wa Mjini Magharibi itakayojengwa na kampuni ya ZF Devco ya nchini Uholanzi. [Picha na Ikulu] 09/01/2024.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi,akitoa hutuba yake katika hafla ya utiaji saini Makubaliano ya ujenzi wa Bandari mpya ya Abiria Mpiga Duri Mkoa wa Mjini Magharibi itakayojengwa na kampuni ya ZF Devco ya nchini Uholanzi katika Maadhimisho ya shamra shamra za Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.[Picha na Ikulu] 09/01/2024.