Ushushaji wa mitambo ya kufua umeme ya mradi wa Bwawa la kuzalisha Umeme la Mwalimu Nyerere ukiendelea katika Bandari ya Dar es Salaam jana usiku
Mtambo wenye uzito wa tani 165 ikishushwa kwa ufanisi mkubwa na wafanyakazi wa bandari ya Dar es Salaam kwenya meli ya MV African Stock ambayo ilibeba shehena ya mitambo ya kufua umeme.