WAGENI waalikwa katika hafla ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi la Mradi wa ujenzi wa Hoteli ya Nyota Tano ya Crown Hotel and Resort Zanzibar, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akihutubia katika hafla hiyo iliyofanyika leo 7-1-2024, ikiwa ni Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.(Picha na Ikulu).
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi la Mradi wa Ujenzi wa Hoteli ya Nyota Tano ya Crown Hotel and Resort Zanzibar, ikiwa ni shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, iliyofanyika leo 7-1-2024.(Picha na Ikulu).
WAKAFANYAKAZI wa Kampuni ya ujenzi ya Estim inayojenga hoteli ya Crown Hotel and Resort Zanzibar, wakifuatilia hutuba ya uwekaji wa Jiwe la Msingi la Mradi huo, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia katika hafla hiyo iliyofanyika leo 7-1-2024, ikiwa ni shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.(Picha na Ikulu).
VIONGOZI wa Serikali na wa Vyama vya Siasa wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi. (hayupo pichani) akihutubia katika hafla ya uwekaji wa Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Mradi wa Hoteli ya Nyota Tano ya Crown Hotel and Resort Zanzibar, uliofanyika leo 7-1-2024.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi la Mradi wa Ujenzi wa Hoteli ya Nyota Tano ya Crown Hotel and Resort Zanzibar, ikiwa ni shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Kazi Uchumi na Uwekezaji Zanzibar Mhe. Mudrik Ramadhan Soranga na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mstaafu Mhe.Balozi Seif Ali Iddi.(Picha na Ikulu)