Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akisalimiana na Sheikh Mohamed Al-Qasimi Mwenyekiti wa Masuala ya kifedha wa Sharjah akimuakilisha Mfadhili wa Ujenzi wa Masjid Sheikha Naima Binti Sultan Al- Qasimi uliojengwa chini ya usimamizi wa Jumuiya ya Al-Noor Charitable Agency for the Needy, alipofika kufungua rasmi leo Tomondo Wilaya Magharibi”B” Mkoa wa Mjini Magharibi .[Picha na Ikulu] 29/12/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Jumuiya ya Al-Noor Charitable Agency for the Needy Sheikh Nadir Mahfoudh wakati alipotembelea madrasa iliyojengwa sambamba na Masjid Sheikha Naima Binti Sultan Al- Qasimi chini ya usimamizi wa Jumuiya ya Al-Noor Charitable Agency for the Needy, wakati wa ufunguzi leo, Tomondo Wilaya Magharibi”B” Mkoa wa Mjini Magharibi .[Picha na Ikulu] 29/12/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akikata utepe kuashiria ufunguzi rasmi wa Masjid Sheikha Naima Binti Sultan Al- Qasimi sambamba na Madrasa zilizojengwa chini ya usimamizi wa Jumuiya ya Al-Noor Charitable Agency for the Needy, kwa ufadhili wa Sheikha Naima Binti Sultan Al- Qasimi katika Kijiji cha Tomondo Wilaya Magharibi”B” Mkoa wa Mjini Magharibi (kulia) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Katiba,Sheria,Utumishi na Utawala Bora Mhe.Haroun Ali Suleiman, Sheikh Mohamed Al-Qasimi Mwenyekiti wa Masuala ya kifedha wa Sharjah (kushoto) Kny;Mkurugenzi Mkuu Annuor Charitable Sheikh Luay Mohamed Mahfoudh,Saadat Al-Sheikh Muhamad Saud Bin Sultan Alqasimy na Saadat Al-Qunsul Saleh Ahmed Alhemeiri .[Picha na Ikulu] 29/12/2023.
Risala ya Ufunguzi wa Masjid Sheikha Naima Binti Sultan Al- Qasimi sambamba na Madrasa zilizojengwa chini ya usimamizi wa Jumuiya ya Al-Noor Charitable Agency for the Needy,iliyosomwa leo na Ustadh Abdul Mabrouk Kitwana,mbele ya mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa nne kulia) Tomondo Wilaya Magharibi”B” Mkoa wa Mjini Magharibi .[Picha na Ikulu] 29/12/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akipokea zawadi kutoka kwa Sheikh Mohamed Al-Qasimi Mwenyekiti wa Masuala ya kifedha wa Sharjah akimuakilisha Mfadhili wa Ujenzi wa Masjid Sheikha Naima Binti Sultan Al- Qasimi uliojengwa chini ya usimamizi wa Jumuiya ya Al-Noor Charitable Agency for the Needy, alipofika kufungua rasmi leo Tomondo Wilaya Magharibi”B” Mkoa wa Mjini Magharibi .[Picha na Ikulu] 29/12/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akipokuwa akitoa nasaha zake wakati wa ufunguzi Masjid Sheikha Naima Binti Sultan Al- Qasimi pamoja na Madrasa zilizojengwa chini ya usimamizi wa Jumuiya ya Al-Noor Charitable Agency for the Needy, alipofika kufungua rasmi leo Tomondo Wilaya Magharibi”B” Mkoa wa Mjini Magharibi .[Picha na Ikulu] 29/12/2023.
Baadhi ya Waumini wa Dini ya Kiislamu wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akipokuwa akitoa nasaha zake wakati wa ufunguzi Masjid Sheikha Naima Binti Sultan Al- Qasimi pamoja na Madrasa zilizojengwa chini ya usimamizi wa Jumuiya ya Al-Noor Charitable Agency for the Needy, alipofika kufungua rasmi leo Tomondo Wilaya Magharibi”B” Mkoa wa Mjini Magharibi .[Picha na Ikulu] 29/12/2023.
Pichani ni Majengo ya Madrasa na Msikiti Masjid Sheikha Naima Binti Sultan Al- Qasimi yaliyojengwa Tomondo Wilaya Magharibi”B” Mkoa wa Mjini Magharibi kwa usimamizi wa Jumuiya ya Al-Noor Charitable Agency for the Needy, .[Picha na Ikulu] 29/12/2023.