RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Balozi wa Tanzania Nchini Uganda Mhe.Meja Jenerali Paul Kisesa Simuli, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar leo 28-12-20213..(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na mgeni wake Balozi wa Tanzania Nchini Uganda Mhe.Meja Jenerali Paul Kisesa Simuli, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulia akielekea Kituo chake cha kazi, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar leo 28-12-2023.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na mgeni wake Balozi wa Tanzania Nchini Uganda Mhe.Meja Jenerali Paul Kisesa Simuli, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo 28-12-2023 kwa mazungumzo na kujitambulia akielekea Kituo chake cha kazi, na (kushoto kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said,mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.(Picha na Ikulu)