Meneja wa Mkondo wa chini wa gesi asilia PanAfrican Energy Tanzania (PAET), Mhandisi. Sabas Oisso (kushoto) akiwa na Meneja Mkazi wa TAQA Dalbit nchini, Amr AbouShady (katikati) na Afisa Mtendaji Mkuu wa Primefuels Africa, Nikesh Mehta wakati wa uzinduzi wa kituo kipya cha kujaza gesi asilia cha TAQA Dalbit jijini Dar es Salaam, Gesi inayosambazwa na PAET kutoka visima vya Songo Songo, ambao wamekuwa wakisambaza CNG kwenye viwanda na kwa matumizi ya magari tangu 2009.
Meneja wa Mkondo wa chini wa gesi asilia PanAfrican Energy Tanzania (PAET), Mhandisi. Sabas Oisso (kulia) akibadilishana mawazo na Makamu wa Rais wa TAQA Arabia, Adly Kafafy (kushoto) na Katikati ni Mkurugenzi wa Miradi TAQA Dalbit, Eslam Yehin.
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe . Doto Biteko akizungumza kwenye uzinduzi wa kituo kipya cha gesi asilia iliyosindikwa CNG kwa ajili ya magari cha TAQA Dalbit kilichopo Airport jijini Dar es salaam ambacho kinasambaziwa gesi hiyo kutoka