Mkurugenzi wa Idara ya TEHAMA Serikalini, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora ambaye pia ni Msimamizi Mkuu wa Mafunzo ya Mifumo ya PEPMIS, PIPMIS na HR Assesment kwa Mkoa wa Morogoro Bw. Priscus Kiwango akizungumza na baadhi ya Viongozi na Watumishi wa Halmashauri Wilaya ya Kilosa Kanda ya Mikumi wakati akifungua Mafunzo ya Mifumo hiyo katika Ukumbi wa Veta mkoani humo.
Baadhi ya Viongozi na Watumishi wa Halmashauri Wilaya ya Kilosa Kanda ya Mikumi wakimsikiliza Mkurugenzi wa Idara ya TEHAMA Serikalini, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora ambaye pia ni Msimamizi Mkuu wa Mafunzo ya Mifumo ya PEPMIS, PIPMIS na HR Assesment kwa Mkoa wa Morogoro Bw. Priscus Kiwango (hayupo pichani) wakati akifungua Mafunzo ya Mifumo hiyo.
Baadhi ya Viongozi na Watumishi wa Halmashauri Wilaya ya Kilosa wakifuatilia Mafunzo ya Mifumo ya PEPMIS, PIPMIS na HR Assesment yanayotolewa na Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora mkoani Moro.
Mkurugenzi Msaidizi Mipango na Bajeti, Wizara ya Mifugo na Uvuvi ambaye pia ni Mkufunzi wa mafunzo ya PEPMIS, PIPMIS na HR Assessment, Bi. Matilda Mtenga akiwaelekeza watumishi Halmashauri Wilaya ya Kilosa, Kanda ya Mikumi mkoani Morogoro nana ya kuingia na kutumia Mifumo hiyo wakati wa mafunzo.