RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika Uzinduzi wa Mpango wa Kitaifa wa Wahudumu wa Afya Ngazi ya Jamii Zanzibar, hafla hiyo iliyofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 16-12-2023.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Nassor Ahmed Mazrui alipowasili katika viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar, kwa ajili ya uzinduzi wa Mpango wa Kitaifa wa Wahudumu wa Afya Ngazi ya Jamii Zanzibar, uliofanyika leo 16-12-2023 na (kushoto kwake) Naibu Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Hassan Khamis Hafidh.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa D-Tree International Bw. Recardo Rampaliele, alipowasili katika jukwaa kuu la Viongozi kwa ajili ya uzinduzi wa Mpango wa Kitaifa wa Wahudumu wa Afya Ngazi ya Jamii Zanzibar, uliofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 16-12-2023.(Picha na Ikulu).
WAHUDUMU wa Afya ya Jamii Zanzibar (CHVs) wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kuzindua mpango wa Kitaifa wa Wahudumu wa Afya Ngazi ya Jamii Zanzibar leo 16-12-2023 katika viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu).
BAADHI ya Wawakakilishi wa Mashirika ya Kimataifa na Mabalozi Wadogo wanaofanya Kazi zao Zanzibar, wakifuatilia hutuba ya Uzinduzi wa Mpango wa Kitaifa wa Wahudumu wa Afya Ngazi ya Jamii Zanzibar, wakati wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla hiyo iliyofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 16-12-2023.(Picha na Ikulu).
WAHUDUMU wa Afya ya Jamii Zanzibar (CHVs) wakishangili wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kuzindua mpango wa Kitaifa wa Wahudumu wa Afya Ngazi ya Jamii Zanzibar leo 16-12-2023 katika viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizindua Mpango wa Kitaifa wa Wahudumu wa Afya Ngazi ya Jamii Zanzibar, uzinduzi huo uliofanyika leo 16-12-2023 katika viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi Kitabu cha Mpango wa Kitaifa wa Wahudumu wa Afya Ngazi ya Jamii Zanzibar Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Zanzibar Dkt. Amour Suleiman Mohamme, baada ya uzinduzi huo uliofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Unguja leo 16-12-2023 na (kushoto kwake) Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Nassor Ahmed Mazrui.(Picha na Ikulu).
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi Kitabu cha Mpango wa Kitaifa wa Wahudumu wa Afya Ngazi ya Jamii Zanzibar, Mkurugenzi Mkaazi wa UNICEF Nchini Bi.Eike Wisch, baada ya uzinduzi huo uliofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Unguja leo 16-12-2023 na (kushoto kwake) Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Nassor Ahmed Mazrui.(Picha na Ikulu)