Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri Mkuu wa Madagacar, Christian Ntsay alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Ivato uliopo Antananarivo nchini Madagascar, Disemba 15, 2023. Kesho atamwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye sherehe za kumwapisha Rais wa nchi hiyo, Andry Rajoelina kwenye uwanja wa Mahamasina Barea Stadium. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na na Waziri Mkuu wa Madagacar, Christian Ntsay alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Ivato uliopo Antananarivo nchini Madagascar, Disemba 15, 2023. Kesho atamwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye sherehe za kumwapisha Rais wa nchi hiyo, Andry Rajoelina kwenye uwanja wa Mahamasina Barea Stadium. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri Mkuu wa Madagacar, Christian Ntsay alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Ivato uliopo Antananarivo nchini Madagascar, Disemba 15, 2023. Kesho atamwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye sherehe za kumwapisha Rais wa nchi hiyo, Andry Rajoelina kwenye uwanja wa Mahamasina Barea Stadium. Kushoto ni Mkewe Mama Mary Majaliwa. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mke wa Waziri Mkuu , Mama Mary Majaliwa akipokea maua ikiwa ni ishra ya kukaribishwa nchini Madagascar wakati Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Ivato uliopo Antananarivo nchini humo, Disemba 15, 2023. Kesho atamwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye sherehe za kumwapisha Rais wa nchi hiyo, Andry Rajoelina kwenye uwanja wa Mahamasina Barea Stadium. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)