Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Al-haj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Waumini wa Dini ya Kiislamu wakati ya Dua Maalum aliyoombewa leo katika Masjid Mushawwar Mwembeshauri baada ya Swala ya Ijumaa,dua iliyotayarishwa na Jumuiya ya Fisabililah Tabligh Markaz,[Picha na Ikulu] 15/12/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Al-haj Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) pamoja na Viongozi wakiitikia Dua iliyoombwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi (wa nne kulia) wakati wa kuhikisha Dua Maalum aliyoombewa leo katika Masjid Mushawwar Mwembeshauri baada ya Swala ya Ijumaa, iliyotayarishwa na Jumuiya ya Fisabililah Tabligh Markaz,[Picha na Ikulu] 15/12/2023.
Waumini wa Dini ya Kiislamu wakiitikia Dua Maalum aliyoombewa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Al-haj Dk.Hussein Ali Mwinyi leo katika Masjid Mushawwar Mwembeshauri baada ya Swala ya Ijumaa, iliyotayarishwa na Jumuiya ya Fisabililah Tabligh Markaz,[Picha na Ikulu] 15/12/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Al-haj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Viongozi mbali mbali mara baada ya Dua Maalum aliyoombewa leo katika Masjid Mushawwar Mwembeshauri baada ya Swala ya Ijumaa, iliyotayarishwa na Jumuiya ya Fisabililah Tabligh Markaz,[Picha na Ikulu] 15/12/2023.