Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Tanzania Bara, Komredi Abdulrahman Kinana akizungumza katika Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Jimbo la Chato mkoani Geita. Mkutano huo umehusu utekelezaji wa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi Jimbo la Chato kwa Mwaka 2021-2023 “KAZI INAENDELEA”

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko akizungumza katika Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Jimbo la Chato kabla ya kumkaribisha Mgeni rasmi, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara. Komrade Abdulrahman Kinana. Mkutano ulihusu utekelezaji wa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi Jimbo la Chato kwa Mwaka 2021-2023 “KAZI INAENDELEA”

Baadhi ya Wajumbe katika Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Jimbo la Chato mkoani Geita. Mkutano huo umehusu utekelezaji wa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi Jimbo la Chato kwa Mwaka 2021-2023 “KAZI INAENDELEA”
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Tanzania Bara, Komredi Abdulrahman Kinana akiteta jambo na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko katika Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Jimbo la Chato mkoani Geita. Mkutano huo umehusu utekelezaji wa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi Jimbo la Chato kwa Mwaka 2021-2023 “KAZI INAENDELEA”
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Tanzania Bara, Komredi Abdulrahman Kinana (katikati) akiteta jambo na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko katika Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Jimbo la Chato mkoani Geita. Mkutano huo umehusu utekelezaji wa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi Jimbo la Chato kwa Mwaka 2021-2023 “KAZI INAENDELEA”
Mbunge wa Chato, Mhe. Dkt. Medard Kalemani akizungumza katika Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Jimbo la Chato uliohusu utekelezaji wa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi Jimbo la Chato kwa Mwaka 2021-2023 “KAZI INAENDELEA”