Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani, Mhe. Hassan Iddi Mwamweta amewasilisha Hati za Utambulisho kwa Rais wa Ujerumani Mhe. Frank -Walter Steinmeier, Rais wa Ujerumani. Katika mazungumzo yao viongozi hao wameahidi kuendeleza ushirikiano mzuri uliopo kati ya Ujerumani na Tanzania.