Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akimsikiliza Balozi Mpya wa Saudi Arabia Nchini Tanzania Mhe.Yahya Ahmed Okeish, alipofika kujitambulisha leo Ikulu Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 08/12/2023.




