Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwapa pole mwananchi wa Katesh wilayani Hanang Disemba 5, 2023, akiwa kwenye eneo la Stendi ya Katesh ambalo liljaa tope baada ya mafuriko kulikuba eneo hilo na kuifanya barabara inayounganisha Babati na Singida isipitike kwa muda. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Serikali imeanza kwa kasi kubwa kuondoa tope lililojaa kwenye eneo la Stendi ya Katesh wilayani Hanang baada ya mafuriko kulikumba eneo hilo. Pichani moja kati ya mitambo iliyopo kwenye eneo hilo ikiondoa tope , Disemba 5, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri mkuu)