Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akijadiliana jambo na Katibu wa NEC Siasa, Uenezi, Itikadi na Mafunzo Ndugu Paul Makonda mara baada ya kufunga Mafunzo ya wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Wajumbe Wamefundishwa Mada Tofauti zinazohusu Uongozi na Maadili ili kuongeza Uwezo na Ufanisi kwa Viongozi hao kuwajibika kwa Chama na Wananchi
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akijadiliana jambo na Katibu wa NEC Siasa, Uenezi, Itikadi na Mafunzo Ndugu Paul Makonda na mara baada ya kufunga Mafunzo ya wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Wajumbe Wamefundishwa Mada Tofauti zinazohusu Uongozi na Maadili ili kuongeza Uwezo na Ufanisi kwa Viongozi hao kuwajibika kwa Chama na Wananchi