Baadhi ya Wageni Waalikwa waliohudhuria katika Uzinduzi wa Mabaraza ya Watu wenye Ulemavu ya Wilaya uliofanyika katika Ukumbi wa Sheikh Idriss Abdul-wakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.
Katibu wa Baraza la Taifa la Watu wenye Ulemavu Zanzibar Mhandisi Ussy Khamis Debe akitoa hotuba ya Utambulisho katika Hafla ya Uzinduzi wa Mabaraza ya Watu wenye Ulemavu ya Wilaya uliofanyika katika Ukumbi wa Sheikh Idriss Abdul-wakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.
Mwanafunzi Mwenye Ulemavu wa Macho Abdillahi Iddi Riziki(kulia)akiwa na Mwalimu wake Sudi Khatib Fakih kutoka Mwera wakiimba Nashdi yenye ujumbe wa Watu wenye Ulemavu katika Hafla ya Uzinduzi wa Mabaraza ya Watu wenye Ulemavu ya Wilaya uliofanyika katika Ukumbi wa Sheikh Idriss Abdul-wakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.
Katibu Tawala Mkoa wa Mjini Mohamed Ali Abdalla akitoa salamu za Mkuu wa Mkoa katika Hafla ya Uzinduzi wa Mabaraza ya Watu wenye Ulemavu ya Wilaya uliofanyika katika Ukumbi wa Sheikh Idriss Abdul-wakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.
Mkuu wa Wilaya ya Kusini Galos Nyimbo akitoa Salamu za Wakuu wa Wilaya katika Hafla ya Uzinduzi wa Mabaraza ya Watu wenye Ulemavu ya Wilaya uliofanyika katika Ukumbi wa Sheikh Idriss Abdul-wakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.
Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Watu wenye Ulemavu (BLTWWU)Salma Saadat akitoa hotuba katika Hafla ya Uzinduzi wa Mabaraza ya Watu wenye Ulemavu ya Wilaya uliofanyika katika Ukumbi wa Sheikh Idriss Abdul-wakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.
Mgeni Rasmi Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais Harusi Said Suleiman akisisitiza jambo wakati akitoa hotuba ya Uzinduzi wa Mabaraza ya Watu wenye Ulemavu ya Wilaya uliofanyika katika Ukumbi wa Sheikh Idriss Abdul-wakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.