Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko akipokea zawadi ya Picha kutoka kwa Askofu Mkuu Mpya wa Tabora, Mwadhama Protase Kardinali Rugambwa baada ya kuwasili katika Makazi ya Baba Askofu mkoani Tabora tarehe 19 Novemba, 2023
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko akipokea zawadi ya Miavuli kutoka kwa Askofu Mkuu Mpya wa Tabora, Mwadhama Protase Kardinali Rugambwa baada ya kuwasili katika Makazi ya Baba Askofu mkoani Tabora tarehe 19 Novemba, 2023
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko akizungumza na Mhasham Askofu Mkuu Mstaafu, Paul Ruzoka na Askofu Mkuu Mpya wa Tabora, Mwadhama Protase Kardinali Rugambwa katika Makazi ya Baba Askofu mkoani Tabora tarehe 19 Novemba, 2023
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko akiwa kwenye picha ya pamoja na Mhasham Askofu Mkuu Mstaafu wa Jimbo la Tabora, Paul Ruzoka na Askofu Mkuu Mpya wa Jimbo la Tabora, Mwadhama Protase Kardinali Rugambwa mara baada ya mazungumzo yao katika Makazi ya Askofu mkoani Tabora tarehe 19 Novemba, 2023
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko akisalimiana na Mhasham Askofu Mkuu Mstaafu, Paul Ruzoka mara baada ya kuwasili katika Makazi ya Baba Askofu mkoani Tabora tarehe 19 Novemba, 2023